Grab your Insurance with us and keep your life good. With insurance you are safely secured.
It is quick process when you engage to do business with us.
Below are regulation documents from TIRA, click to download.
Click (+) to view the answers and (-) to minimize
To grow and achieve Insurance market leadership in Tanzania by exceeding customers expectation and gain operation efficiencies in all our business and activities
To provide quality goods and services promptly to our customers
General coverage includes; Fire, Explosion, Breakage of Machines, Theft, Third-Party Liability Delay in Start-Up
Hii ni aina ya bima ambayo inahakikisha Mteja anakuwa salama pindi awapo barabarani na pindi ajali itakapotojkea basi kampuni ya bima itamlipa hasara zitakazokuwa zimetokea na fidia zitokanazo na upotevu wa mali za abiria au uharibufu wa mali baada ya ajali awapo barabarani. Hii inahakikisha kwamba kama gari limepata ajali, kampuni ya bima itaendelea kutoa msaada wa kifedha kwa ajali zinazoweza kutokea, kama vile ushururu, uharibifu wa gari, au wizi.
Hii ipo kwa ajili ya kukulinda wewe mmiliki wa chombo au dereva dhidi ya madhara yatakayotokea kwa mtu wa tatu baada ya ajali. Inahusisha ulinzi wa wajibu wa kisheria unaoweza kujitokeza kama matokeo ya ajali
ambayo inahusisha majeruhi, vifo au uharibifu wa mali kwa watu wengine mfano magari, pikipiki, na mali zingine. Basi sisi kama kampuni tutahakikisha kukilipa fidia juu ya hasara utakazozipata baada ya kusababisha ajali kwa mtu/watu wengine.
Hii inahusisha ulinzi wa kina dhidi ya ajali, wizi, moto, na uharibifu mwingine
wowote kwa gari lako na pia mali au magari mengine ambayo yanaweza kuhusika katika ajali hiyo. Pia bima hii inatoa ulinzi kwa abiria waliopo ndani ya gari lako wakati wa ajali.
Bima ya moto ya kawaida inatumika kama msingi wa karibu bima zote za biashara. Madhumuni ya bima hii ni kutoa fidia kwa mtu au kampuni iliyohusika endapo kutatokea uharibifu wa mali iliyohakikishwa (kama vile majengo, hisa, na vitu vingine).
Matukio ya Asili kama vile kimbunga, mafuriko, tetemeko la ardhi, n.k.
Bima ya uhandisi ni aina ya bima inayohusisha ulinzi wa ujenzi na mali zinazohusiana na ujenzi. Hii inahakikisha kwamba kama kuna ajali au uharibifu wa ujenzi, kampuni ya bima itaendelea kutoa msaada wa kifedha kwa ajali
zinazoweza kutokea. Hapa kuna baadhi ya aina za bima ya uhandisi ambazo zinaweza kuchaguliwa kulingana na mahitaji yako: kama vile bima ya ujenzi, bima ya uvunjifu wa mashine katika kipindi chote wakati mradi wa ujenzi uanaendelea. Hivyo basi kampuni ya bima itatoa fidia kwa kuangalia makubaliano ya m,kataba baina ya mteja wetu na hasara zilizojitokeza. Pia bima hii inahusisha ulinzi wa wajibu wa kisheria unaoweza kujitokeza kama matokeo ya ajali ya ujenzi ambayo inahusisha majeruhi au uharibifu wa mali kwa watu wengine.
Bima ya nyumba inatoa kinga kwa nyumba yako na vitu vilivyomo ndani dhidi ya hatari mbalimbali mfano kinga dhidi ya moto, hatari maalum, wizi, fedha na majanga asilia kama tetemeko la ardhi, kimbungam, mafuruko.
Hii ni aina ya bima inayotoa kinga kwa hasara au uharibifu wa mali kutokana na wizi au jaribio la wizi. Inafaa sana kwa watu binafsi na biashara zinazotaka kulinda mali zao.
Hii bima inawalinda watu binafsi na makampuni ya kibiashara dhidi ya hasara za
kifedha ikiwa watahusika kisheria kwa kusababisha majeraha kwa wengine au
uharibifu wa mali za watu wengine.
Bima hii inatoa kinga kwa makampuni ya kibiashara dhidi ya madai ya kujeruhiwa, uharibifu wa mali, au hasara za kifedha zinazosababishwa na bidhaa zinazotengenezwa, kusambazwa, au kusafirishwa na haya makampuni
Bima hii imetengenezwa ili kumfidia mkata bima kutokana na madai ya
wajibu wa kisheria kutoka kwa umma/watu au kampuni ambazo zinaweza
kuathirika kutokana na uzembe wao au wa wafanyakazi wao. Inafidia
hasara, gharama na matumizi yanayojitokeza katika tukio la dai la
kujeruhiwa au uharibifu wa mali.
Bima hii inafidia wajibu wa kisheria kwa hasara zinazotokana na dai au madai
yaliyotolewa dhidi ya mhusika kwa kitendo chochote kibaya cha mhusika au cha mtu mwingine ambaye matendo yake yanawajibika kisheria kwa mhusika. Wataalamu wanatarajiwa kudumisha na kutenda ndani ya viwango vinavyotarajiwa vya taaluma zao, sasa pindi watakavyoharibu kutokana na
taaluma zao basi bima hii ipo kwa ajiri ya kuwakinga dhidi ya madai kutoka kwa
waathirika. Pia inafidia wajibu wa wanachama wa taaluma kwa majeraha, uharibifu au
hasara za kifedha kwa wateja au umma kutokana na uvunjaji wa wajibu wao wa
kitaaluma au vitendo vya uzembe, makosa au kutotenda kwa umahiri wao wa kitaaluma.
Bima ya baharini ni aina ya bima ya jumla inayotoa ulinzi dhidi ya hasara au
uharibifu wa meli, mizigo, vituo vya mizigo, na usafirishaji au mizigo ambayo mali
inahamishwa, kupatikana, au kushikiliwa kati ya sehemu za mwanzo na mwisho
wa safari.
Bima ya mizigo ni aina ya bima inayotoa ulinzi dhidi ya hasara au uharibifu wa mizigo wakati inaposafirishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kiwango cha bima kitakachohakikishwa kitaamuliwa na kiasi kinachokadiriwa cha mwaka (estimated annual carrying – E.A.C) au kiwango cha safari moja moja (single load limit-one off).
Bima hii inafunika usafirishaji wa mizigo ndani ya mipaka ya nchi, ikijumuisha usafirishaji kwa barabara, reli, au njia za maji ndani ya Tanzania. Kwa safari za nje ya mipaka ya nchi makubaliano ya pande mbili hufanyika baina ya kampuni na mkata bima.
Click the button below to grab your desired insurance with us.
“A good protection to secure your business and other related subject matters comes from having an insurance cover from the trusteed service provider from which you will get services of your choice. The staff always is there to make sure that new clients are fetched with competitive strategies, managing the customers expectations and at the same time retaining the existing customers”
Bakari Milanzi
Managing Director
Why You Choose Us ?
No wastage of time, No stories. We work with integrity, effective and more efficient, we are ugile to your business
We are here to safeguard your properties, money, your health, etc. We deliver to you the fastest service by having an experience in insurance.
We safeguard your money such that you can get it anytime after the happening of the insured risk
After being confirmed all services are processed in a short time.
Watch videos from our YouTube channel. Remember to Like, to Comment and to Subscribe